TFF yaahirisha michezo ya Simba na Yanga wiki ijayo kusubiri pambano la watani

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
21 Sep 2018
TFF yaahirisha michezo ya Simba na Yanga wiki ijayo kusubiri pambano la watani
Katika hali isiyo ya kawaida Shirikisho la soka nchini(TFF) limeahirisha mchezo ya Simba dhidi ya Biashara United pamoja na ule wa Yanga dhidi ya JKT Tanzania.

Yanga ilipaswa kucheza na JKT Septemba 26 2018 wakati Simba ilitakiwa icheze na Biashara Septemba 27 mechi zote zikiwa zimepangwa kufanyika uwanja wa Taifa.

Michezo hiyo imeahirishwa baada ya uongozi wa Simba kuomba kuahirishwa mchezo wao dhidi ya Biashara United ili ipate muda wa kujiandaa na mchezo wa Septemba 30.

Mchezo wa Simba na Yanga utapigwa Septemba 30 kwenye uwanja wa Taifa.

Uamuzi huo wa TFF kuahirisha michezo hiyo umewashangaza wengi kwa kuwa sio Yanga na Simba pekee ambazo zinacheza kila baada ya siku tatu.

Swala hili litaweza kuleta sintofahamu baadae iwapo timu nyingine zitatokea kuomba michezo yao iahirishwe kwa sababu kama hizo zilizotolewa na Simba.
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
2h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
3h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
3h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
6h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
21h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
22h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’