Shirikisho la soka nchini (TFF) limetoa taarifa kuwa tayari tiketi za mchezo wa watani wa jadi kati ya Simba dhidi ya Yanga utakaopigwa Jumapili ijayo Septemba 30 kwenye uwanja wa Taifa, zimeanza kuuzwa.
ADVERTISE HERE