Wachezaji 26 na viongozi nane wa Yanga wameondoka jioni ya leo Jumatatu kuelekea mkoani Morogoro kwa ajili ya kambi ya siku tano kujiandaa na mchezo dhidi ya Simba.
Mratibu wa Yanga Hafidh Saleh amesema ni mchezaji mmoja pekee Juma Mahadhi ambaye amekosekana katika safari hiyo baada ya kufanyiwa upasuaji wa goti.
"Kikosi cha Yanga kimeondoka jioni hii kuelekea mkoani Morogoro kuweka kambi ya siku tano kujiandaa na mchezo dhidi ya watani zetu Simba"
"Tumeondoka na wachezaji 26 na viongozi nane wakiwemo wa benchi la Ufundi."

ADVERTISE HERE