Mwanamama Jonesya Rukyaa ndiye atakayechezesha mchezo wa watani wa jadi, Simba na Yanga utakaopigwa uwanja wa Taifa Jumapili ijayo, Septemba 30.
Jonesya ni miongoni mwa waamuzi bora nchini ambao wana beji ya FIFA.
Atasaidiwa na Ferdinand Chacha na Mohamed Mkono ambao watakuwa waamuzi wasaidizi pembeni huku mezani akikaa Elly Sasii

ADVERTISE HERE