Kikosi cha Yanga leo jioni kilipewa mapumziko baada ya mazoezi 'makali' ya siku mbili mfululizo.

Meneja wa Yanga Hafidh Saleh amesisitiza wachezaji Geofrey Mwashiuya, Beno Kakolanya na Obrey Chirwa wataendelea kukosekana kutokana na majeruhi.
Ni dhahiri wachezaji hao huenda wakaukosa mchezo wa Ngao ya Jamii dhidi ya Simba, Jumatano ijayo.

ADVERTISE HERE