Kikosi cha Yanga kimeendelea na mazoezi mkoani Morogoro kujiandaa na mchezo dhidi ya Simba utakaopigwa uwanja wa Taifa Jumapili ijayo, Septemba 30 2018.
Yanga imefikia Hotel ya KingsWay.
Mazoezi hayo yanafanyika chini ya usimamizi mkali kuhakikisha umakini unakuwepo muda wote kwa wachezaji.
Yanga imeanza mazoezi yake jana ikiwa na takribani siku nne pekee kabla ya mchezo dhidi ya Simba.

ADVERTISE HERE