Kocha Mkuu wa Yanga Mwinyi Zahera ametetea mfumo uliotumiwa na timu yake kwenye mchezo wa leo dhidi ya Simba uliomalizika kwa suluhu ya bila kufungana.
Kwenye mchezo wa leo Yanga ilitumia zaidi mfumo wa kujihami na kujikuta ikishambuliwa kwa muda mwingi.
Hata hivyo akizungumza baada ya mchezo, Zahera amesema leo Yanga imecheza kujihami zaidi kutokana na aina ya mchezo.
Amesema kuliko kupoteza mchezo ni bora wameweza kujilinda kuweza kuondoka na alama moja muhimu.
"Kama Huwezi shinda, usipigwe," amesema Zahera
"Wachezaji wengi walipotea sababu tulibadiri mbinu, hili ni tatizo kwa Wachezaji Naona huku
"Mechi ya Coastal Ngassa alipotea vile tulibadiri mbinu, leo Ajib na Kaseke wakapotea, mchezaji wa Duniani inatakiwa ufanye vile unaambiwa na kufanya kazi, ni kama unafanya copy"
"Tulipanga tuwaachie mpira, inatakiwa ukimuachia mpira ukipata kimbia sana, lakini tatizo Ajib, Kaseke wakipata mipira wanatembea"
"Tuliwaambia vile Simba wanacheza watajaa kati kati hivyo Tuliwaambia Ajib, Kaseke na Tshishimbi wajae Ndani wawe wanakimbia ndani na kufunga"
"Niliwatoa Ajib na Kaseke kwa sababu walishindwa kufuata vile tumeongea na kukubaliana," amesema Zahera

ADVERTISE HERE