Baada ya kulazimisha suluhu ya bila kufungana dhidi ya Simba jana, mchezo unaofuata wa Yanga katika ligi kuu ya Tanzania Bara ni dhidi ya vinara wa ligi hiyo Mbao FC.
Mchezo huo utapigwa kwenye uwanja wa Taifa Jumapili ijayo, Octoba 07 (Kama hautaahirishwa kwani wachezaji watano wa Yanga wameitwa Stars).
Leo ligi inaendelea kwa michezo kadhaa kupigwa kwenye viwanja mablimbali;

ADVERTISE HERE