Habari njema kwa wanaotaka kwenda kuishangilia Stars Cape Verde

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
3 Oct 2018
Habari njema kwa wanaotaka kwenda kuishangilia Stars Cape Verde
Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Dr. Harrison Mwakyembe ametangaza kuwa ndege ya serikali, Boeing 787 Dreamliner ndiyo itakayowabeba wachezaji wa timu ya taifa (Taifa Stars) pamoja na mashabiki kwenda Cape Verde kwenye mchezo wa kuwania kufuzu fainali za mataifa ya Afrika mwakani.

Ndege hiyo itawasubiri na kuwarudisha nchini kuwahi mchezo wa marudiano utakaopigwa Oktoba 16 kwenye dimba la Taifa jijini Dar es Salaam.

Mechi ya kwanza itapigwa Oktoba 12.

Hii ni fursa kwa mashabiki wazalendo kwenda kuipa sapoti timu ya Taifa ugenini nchini Cape Verde.

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
4h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
4h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
4h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
14h ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
15h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
17h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
22h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
1d ago
READ MORE β†’