Stars yaendelea kujifua JMK Park

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
4 Oct 2018
Stars yaendelea kujifua JMK Park
Timu ya Taifa ya Tanzania 'Taifa Stars' imeendelea na mazoezi leo Uwanja wa JMK Park, kujiandaa na mchezo wa kufuzu kucheza Fainali za Africa 2019 dhidi ya Cape Verde.

Mechi ya kwanza itachezwa Cape Verde Oktoba 12 na mchezo wa marudiano Oktoba 16,2018 Uwanja wa Taifa.

Stars imeendelea kujifua bila ya wachezaji wake wanaosakata kabumbu nje ya nchi isipokuwa Thomas Ulimwengu aliyewasili mapema.

Wachezaji wote wa ndani wameendelea kujifua licha ya timu zao kukabiliwa na michezo ya ligi mwishoni mwa wiki hii.

Wachezaji hao wataruhusiwa kwenda kuzitumikia timu zao kisha kurejea kambini kuendelea na maandalizi.
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
11h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
15h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
19h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
20h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
20h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
23h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’