Wachezaji wa Yanga walioitwa Stars kesho uwanja wa Taifa 'kama kawa'

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
6 Oct 2018
Wachezaji wa Yanga walioitwa Stars kesho uwanja wa Taifa 'kama kawa'
Beno Kakolanya, Gadiel Michael, Andrew Vicent, Kelvin Yondani na Feisal Salum 'Fei Toto' watakuwa sehemu ya kikosi cha Yanga kinatakachoivaa Mbao FC kwenye mchezo wa ligi kuu ya Tanzania utakaopigwa kwenye uwanja wa Taifa Jumapili.

Wachezaji hao wamekuwa wakijifua kwenye kambi ya timu ya Taifa chini ya kocha Emmanuel Amunike na kesho wataruhusiwa kuitumikia Yanga.

Kikosi cha Yanga leo kimefanya mazoezi ya mwisho kwenye uwanja wa Chuo cha Polisi Kurasini jijini Dar es salaam tayari kwa mchezo huo unaosubiriwa kwa hamu.

Wakati Kocha Msaidizi wa Yanga Noel Mwandila akiwahakikishia Wana Jangwani kuwa kesho Mbao hazitatoka salama kwenye uwanja wa Taifa, Amri Said kocha wa Mbao ametamba kuwa timu yake imepania kupata ushindi kama ilivyofanya mchezo dhidi ya Simba.
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
3h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
7h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
11h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
12h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
12h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
15h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’