Yanga kujipima na Malindi leo, ni heshima nyingine kwa Nadir

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
13 Oct 2018
Yanga kujipima na Malindi leo, ni heshima nyingine kwa Nadir
Kikosi cha Yanga jana kilivuka bahari kuelekea visiwani Zanzibar kucheza mchezo wa kirafiki dhidi ya Malindi FC maalum kwa ajili ya kumuaga nahodha wa zamani wa timu hiyo Nadir Haroub 'Cannavaro' ambaye sasa ni Meneja.

Mchezo huo utapigwa leo Jumamosi saa kumi jioni kwenye uwanja wa Amaan na utarushwa mbashara na Azam TV.

Yanga imekwenda Zanzibar na kikosi cha wachezaji 20 ambapo itautumia mchezo huo kuwapa nafasi baadhi ya wachezaji ambao wamekuwa hawapangwi kwenye kikosi cha kwanza.

Licha ya kutumika kumuaga Cannavaro visiwani Zanzibar, mchezo huo ni sehemu ya maandalizi ya kikosi cha Yanga ambacho kinajiandaa na mchezo wa ligi kuu ya Tanzania Bara dhidi ya Alliance utakaopigwa uwanja wa Taifa Jumamosi ijayo, Oktoba 20 2018.
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
10h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
10h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
14h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
15h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
19h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
19h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
19h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’