Kiingilio mchezo wa Stars dhidi ya Cape Verde buku mbili tu

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
14 Oct 2018
Kiingilio mchezo wa Stars dhidi ya Cape Verde buku mbili tu
Ili kuhakikisha Watanzania wengi wanaingia Uwanja wa Taifa keshokutwa Jumanne kuipa sapoti timu yao itakapokuwa inachuana na Cape Verde, TFF imetangaza viingilio vya mchezo huo ambapo kiingilio cha chini ni Tsh 2,000/-

Aidha kiingilio kwa majukwaa yote ya VIP itakuwa Tsh 10,000/-



Mchezo huo ambao Stars inahitaji kushinda ili kuweka hai matumaini ya kufuzu fainali za AFCON 2019, unatarajiwa kuanza saa 11 jioni.
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
3h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
3h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
7h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
8h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
12h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
12h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
12h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
22h ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
23h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’