Nyoni aongezwa Stars, achukua nafasi ya Kessy

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
14 Oct 2018
Nyoni aongezwa Stars, achukua nafasi ya Kessy
Beki kiraka wa Simba Erasto Nyoni ameongezwa kwenye kikosi cha timu ya Taifa kinachojiandaa na mchezo dhidi ya Cape Verde utakaopigwa keshokutwa katika uwanja wa Taifa.

Nyoni anayedumu nafasi zote za ulinzi na kiungo ameitwa kikosini kuchukua nafasi ya Hassan Kessy atakayeukosa mchezo wa Jumanne kutokana na kutumikia adhabu ya kadi mbili za njano.

Taifa Stars inajifua kuelekea mchezo huo ambapo kwa mujibu wa Shirikisho la soka Tanzania TFF kiingilio cha juu zaidi kitakuwa ni shilingi 10,000/= wakati kiingilio cha chini kitakuwa ni shilingi 2,000.

Mchezo huo utapigwa kuanzia saa 11 jioni.

Ni matokeo ya ushindi pekee ndio yataweka hai ndoto za Stars za kufuzu fainali za AFCON 2019 zitakazofanyika nchini Cameroon.
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
1h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
6h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
7h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
7h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
10h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’