Akina dada wa Yanga Princess wamefanikiwa kutwaa ubingwa wa ligi daraja la kwanza, wanawake baada ya kuilaza Tanzanite Queens mabao 2-1 katika mchezo wa fainali uliopigwa uwanja wa Karume leo.
Yanga Princess wamekabidhiwa taji la ubingwa wa ligi hiyo na Rais wa TFF Wallace Karia.

Yanga Princess pia imefanikiwa kupanda daraja na itashiriki ligi kuu ya Wanawake msimu ujao.
Tunawapa pongezi za dhati kwa kuendeleza utamaduni wa Yanga wa kushinda mataji.

ADVERTISE HERE