Kikao cha Kamati ya Uchaguzi klabu ya Yanga kilichokutana hivi karibuni kimepanga tarehe ya uchaguzi kwa ajili ya kujaza nafasi zilizowazi kuwa Novemba 24, 2018.
Mwezi uliopita Shirikisho la soka Tanzania (TFF) liliviagiza vilabu vya Simba na Yanga kuhakikisha vimefanya uchaguzi wa kuwapata viongozi wake halali.
Yanga itafanya uchaguzi kujaza nafasi nne zilizowazi ambazo ni nafasi ya Makamu Mwenyekiti na Wajumbe watatu wa Kamati ya Utendaji.
Nafasi ya Mwenyekiti haina mjadala tena baada ya Yusuph Manji kukubali kurejea kwenye wadhifa huo aliouacha mapema mwaka jana baada ya kupata matatizo

ADVERTISE HERE