Waziri Makamba athibitisha kuzungumza na MO

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
20 Oct 2018
Waziri Makamba athibitisha kuzungumza na MO
Waziri wa nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Mazingira na Muungano) Mh Januari Makamba amethibitisha kuzungumza na mfanyabiashara Mohammed Dewji aliyetekwa na watu wasiojulikana wiki iliyopita.

Kupitia ukurasa wake wa mtandao wa Instagram, Makamba amesema MO amerudi nyumbani salama



Aidha kwa mujibu wa taarifa zilizothibitishwa na familia ya MO, CEO huyo wa Makampuni ya MeTL amepatikana akiwa mzima usiku wa kuamkia leo majira ya saa 8.

Kwa mujibu wa msemaji wa familia, Mo aliwapigia simu ndugu zake na kuwaambia wamfuate maeneo ya Gymkhana na walimkuta akiwa mzima kabisa.
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
1h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
4h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
5h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
7h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
17h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
22h ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
1d ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
1d ago
READ MORE β†’
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
1d ago
READ MORE β†’