Happy BirthDay Abdallah Shaibu 'Ninja'

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
21 Oct 2018
Happy BirthDay Abdallah Shaibu 'Ninja'
Tarehe kama ya leo alizaliwa beki chipukizi Abdallah Shaibu 'Ninja' ambaye ndiye mrithi sahihi wa mkongwe Nadir Haroub 'Cannavaro' aliyestaafu na kukabidhiwa majukumu ya Umeneja wa Yanga.

Shaibu tayari amekuwa mmoja wa wachezaji wa kutumainiwa katika kikosi cha Yanga ambapo kocha Mkuu wa timu hiyo Mwinyi Zahera wakati mwingine amekuwa akimtumia kwa 'kazi maalum'.

Tunamtakia kila la kheri katika siku hii muhimu kwake. Mwenye ez Mungu amjaalie maisha marefu ili aweze kutimiza ndoto zake.

HAPPY BIRTHDAY ABDALLAH SHAIBU 'NINJA'
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
3h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
3h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
3h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
7h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
22h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
22h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’