Ligi Kuu ya Tanzania Bara kesho Jumatano, Oktoba 24 inaingia katika mzunguuko wa 11 ambapo michezo sita inatarajiwa kupigwa huku mingine minne ikipigwa Alhamisi.
Hii hapa ratiba ya michezo hiyo inayopigwa katikati ya wiki.

Michezo itakayorushwa mbashara na Azam TV

Mchezo wa KMC dhidi ya Yanga utakaopigwa keshokutwa Alhamisi kwenye dimba la Taifa, utaanza saa moja usiku.

ADVERTISE HERE