Ligi Kuu ya Tanzania Bara inaendelea leo ambapo nyasi za viwanja sita zinatarajiwa kuwaka moto.
Wakati Azam Fc na Simba zikishuka dimbani leo kuchuana na JKT Tanzania na Alliance, Yanga itakuwa dimbani kesho kuikabili KMC.

Azam Fc ina nafasi ya kujiimarisha kileleni mwa msimamo wa ligi kama itapata ushindi dhidi ya JKT Tanzania.
Hata hivyo hautakuwa mchezo mwepesi kwa Azam kwani JKT Tanzania ni miongoni mwa timu ambazo hazijapoteza mchezo mpaka sasa.
Matokeo yoyote tofauti na ushindi kwa Azam Fc yataipa nafasi Yanga kukwea kileleni mwa msimamo wa ligi kesho kama itaifunga KMC

ADVERTISE HERE