Kiungo mkabaji Papi Kabamba Tshishimbi leo ameanza kujifua rasmi na kikosi cha Yanga kilichoweka kambi kisiwani Pemba.
Kiungo huyo aliibua gumzo kwa wiki kadhaa wengi wakihoji ni lini ataonekana kwenye kikosi cha Yanga licha ya uongozi kuthibitisha amesajiliwa.
Tshishimbi amepewa jezi namba 24.Jezi namba hiyo iliwahi kutumiwa na kiungo Athumani Iddi Chuji.

Inaaminika tangu kuondoka kwa Chuji Yanga haikuwahi kupata kiungo mkabaji aliyeweza kuitendea haki namba hiyo.
Lakini sasa baada ya kumpata Tshishimbi, inaaminika ameletwa kutibu kabisa tatizo hilo sugu.

ADVERTISE HERE