Ajib kuikosa KMC

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
25 Oct 2018
Ajib kuikosa KMC
Yanga imepata pigo kuelekea mchezo wake dhidi ya KMC unaopigwa leo dimba la Taifa baada ya kinara wake wa 'kupika' mabao Ibrahim Ajib kupata majeraha.

Kulingana na taarifa iliyotolewa na uongozi wa Yanga mapema leo, Ajib anasumbuliwa na maumivu ya mgongo.

"Ibrahim Ajib hatokuwa sehemu ya mchezo wa leo baada ya kupata maumivu ya mgongo ambayo kwa sasa anaendelea na matibabu chini ya uangaliazi wa Daktari wa timu ili aweze kupona haraka na arejee kwenye majukumu yake kwa michezo inayofuata," imesema taarifa ya Yanga

Mbali ya Ajib, kiungo Papi Tshishimbi nae yuko kwenye hatihati ya kukosa mchezo huo wakati Andrew Vicent, Juma Mahadhi na Baruani Akilimali nao watakosekana.
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
2h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
2h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
6h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
7h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
11h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
11h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
11h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
21h ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
22h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’