Zahera akerwa na ubutu wa safu ya ushambuliaji Yanga

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
5 Nov 2018
Zahera akerwa na ubutu wa safu ya ushambuliaji Yanga
Kocha Mkuu wa Yanga Mwinyi Zahera amekerwa na ubutu wa safu yake ya ushambuliaji baada ya timu yake kulazimishwa sare ya bao 1-1 na Ndanda Fc kwenye mchezo wa ligi kuu ya Tanzania Bara uliopigwa jana usiku.

Akizungumza na waandishi wa habari baada ya mchezo ya mchezo jana, Zahera alisema timu yake ingeweza kuondoka na ushindi mnono kama wangetumia vyema nafasi walizotengeneza.

"Jana tulicheza sana mpira tofauti na michezo mingine. Tulitengeneza nafasi nyingi sana ambazo hatukuzitumia,"amesema

Zahera amemshukia mshambuliaji Heritier Makambo aliyekosa nafasi kadhaa za wazi

"Kila mechi tunatengeneza nafasi nyingi lakini washambuliaji hawafungi. Mfano goli la kichwa alilokosa Makambo hata Mama yangu angeweza kufunga," alisema aliyeonekana kukerwa na hali hiyo.
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
6h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
10h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
14h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
15h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
15h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
18h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’