Kamati ya Utendaji ya Yanga imeusogeza mbele Mkutano Mkuu wa dharura ambao awali ulipangwa kufanyika Novemba 24, 2018.
Mkutano huo sasa utafanyika Disemba mosi, 2018.
Sababu ya kusogeza mbele Mkutano huo ikitajwa kuwa ni muingiliano wa tarehe ya awali na ratiba ya michezo ya ligi.

ADVERTISE HERE