Zahera kutua leo

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
19 Nov 2018
Zahera kutua leo
Kocha Mkuu wa Yanga Mwinyi Zahera anatarajiwa kuwasili leo kutoka DR Congo alikokwenda akitimiza majukumu ya kikosi cha timu ya Taifa.

Zahera ambaye mi kocha msaidizi wa DR Congo jana aliiongoza timu hiyo kupata sare ya 1-1 ugenini dhidi ya ndugu zao Congo Brazzaville

Kocha huyo anatarajiwa kuwasili leo tayari kwa safari ya mkoani Shinyanga kwenye mchezo wa kiporo wa ligi kuu ya Tanzania bara dhidi ya Mwadui Fc utakaopigwa Alhamisi, Novemba 22 2018.

Yanga inatarajiwa kuondoka jijini Dar es salaam kesho kwa usafiri wa Ndege.
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
4h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
5h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
5h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
8h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
23h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
23h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’