Kikosi cha Yanga tayari kiko mkoani Kagera kujiwinda na mchezo wa ligi kuu ya Tanzania Bara dhidi ya Kagera Sugar.
Mchezo huo utapigwa keshokutwa Jumapili kwenye uwanja wa Kaitaba
Yanga iliondoka mkoani Shinyanga mapema leo kwa usafiri wa Ndege.
Mabingwa hao wa kihistoria wamepania kuondoka na alama zote sita kanda ya ziwa baada ya jana kuilaza Mwadui Fc mabao 2-1

ADVERTISE HERE