Rais mpya wa TFF Wallace Karia amewatahadharisha waamuzi pamoja na viongozi wa vilabu ambao endapo watapindisha mambo ili kuuharibu mchezo wa Simba na Yanga unaopigwa leo kwenye dimba la taifa.
"Tutakuwa wakali mno kwa wasimamizi wa mchezo huo pamoja na viongozi wa vilabu ambao watajaribu kufanya njia zozote za hila ili kupata ushindi nje ya taratibu halali", amesema
"Hatutasita kumpoteza mwamuzi kwenye masuala ya michezo kama ataleta mchezo na mchezo wa kesho."
Γ’β¬ΕWaamuzi tuliowachagua wako makini na wanauwezo, watakapofanya makusudi yoyote na sisi, wataona makusudi yetu."
Mechi za hivi karibuni za Simba dhidi ya Yanga zimekuwa zikimalizika huku waamuzi wakiishia kubebeshwa mizigo ya lawama kwa kushindwa kumudu mechi husika huku baadhi ya waamuzi wakiishia kufungiwa au kusimamishwa.

ADVERTISE HERE