Kikosi cha Yanga kiko Mwanza tayari kwa safari ya kurejea Dar es salaam baada ya kukamilisha ratiba ya michezo miwili ya kanda ya ziwa.
Ikiwa jijini Mwanza ikisubiri ndege ya kuirejesha timu Dar, wachezaji walipata nafasi ya 'kujiachia' ndani ya jiji hilo la Mawe ikiwa ni pamoja na kupiga picha kwa ajili ya kumbukumbu ya uwepo wao jijini hapo.

Mabingwa hao wa kihistoria wanatarajiwa kurejea jijini Dar es salaam leo jioni.

ADVERTISE HERE