Msafara wa wachezaji 21 wa Yanga na viongozi nane wa benchi la ufundi umeondoka mapema leo kwa usafiri wa ndege kuelekea mkoani Mbeya kwa ajili ya mchezo wa ligi kuu ya Tanzania Bara dhidi ya Prisons.
Yanga itakuwa ugenini kwenye dimba la Sokoine katika mchezo utakaopigwa keshokutwa Jumatatu
Vinara hao wa ligi kuu watakuwa na nafasi ya kujiimarisha zaidi kileleni mwa msimamo wa ligi kama watashinda mchezo huo.

ADVERTISE HERE