Walioteuliwa kuunda Kamati ya uchaguzi Yanga

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
1 Dec 2018
Walioteuliwa kuunda Kamati ya uchaguzi Yanga
Mbali na uteuzi wa Lukumay na Sizya kukaimu nafasi ya Mwenyekiti na Makamu Mwenyekiti, uongozi wa Yanga kwa kushirikiana na Kamati ya Utendaji ya klabu hiyo, imeteua Wajumbe saba wanaounda Kamati ya uchaguzi ya klabu hiyo.

Uongozi wa timu hiyo umefikia makubaliano na TFF kuunda Kamati yake ya uchaguzi ambayo itashirikianana ile ya TFF kusimamia uchaguzi wa kujaza nafasi zilizowazi utakaofanyika Jan 13, 2019.

Walioteuliwa kuunda Kamati hiyo ni;

1. Jabir Katundu
2. Daniel Mlelwa
3. Samwel Mapande
4. Mustafa Nagari
5. Godfrey Mapunda
6. Edward Mwakingwe
7. Samwel Mangesho
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
5h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
5h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
9h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
13h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
16h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
17h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
19h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
1d ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
1d ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’