Yanga yawasili Rukwa

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
4 Dec 2018
Yanga yawasili Rukwa
Kikosi cha Yanga kimewasili mkoani Rukwa ambapo kesho Jumatano kitacheza mchezo wa kirafiki dhidi ya Sumbawanga United.

Yanga ilipata mwaliko kutoka mkoani humo ambapo wananchi wamekuwa na shauku kubwa ya kuwaona vinara hao wa ligi kuu ya Tanzania Bara

Mashabiki walijitokeza kwa wingi kuusindikiza msafara wa Yanga wakati ulipokuwa unaingia mkoani humo.





Msafara wa Yanga ulijumuisha wachezaji wote waliokuwa mkoani Mbeya amapo jana walifanikiwa kupata ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya Tanzania Prisons

Baada ya mchezo wa kesho kikosi cha Yanga kinatarajiwa kurejea mkoani Mbeya kuendelea na maandalizi ya mchezo wa ligi unaofuata dhidi ya Biashara United.
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
57m ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
1h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
1h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
4h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
19h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
20h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
23h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’