Timu ya Biashara United tayari iko jijini Dar es salaam ikijifua kwa ajili ya mchezo wa ligi kuu ya Tanzania Bara utakaopigwa Jumapili dhidi ya Yanga
Timu hiyo ambayo iko mkiani wa msimamo wa ligi imetokea mkoani Iringa ilikofungwa mabao 2-1 na Lipuli Fc.
Wenyeji wao Yanga jana walikuwa Sumbawanga ambapo walicheza mchezo wa kirafiki dhidi ya Sumbawanga United, mchezo ambao Yanga ilifungwa mabao 2-1
Kikosi cha Yanga kimeshaondoka Sumbawanga kurejea Mbeya wakitarajiwa kurudi jijini Dar es salaam kwa usafiri wa ndege.

ADVERTISE HERE