Usaili wa wagombea Yanga kuhitimishwa leo

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
7 Dec 2018
Usaili wa wagombea Yanga kuhitimishwa leo
Usaili wa wagombea wa nafasi mbalimbali za uongozi katika klabu ya Yanga unaosimamiwa na TFF, ulianza jana na leo zoezi hilo litakamilishwa.

Baadhi ya wagombea waliojitokeza jana kwenye usaili huo, wawili ni wa nafasi ya Mwenyekiti, Baraka Igangula na Erick Ambakisye

Wengine waliojitokeza jana ni wagombea wa nafasi ya Makamu Mwenyekiti Yono Kavera na Titus Osolo pamoja na wengine wakiwa wagombea nafasi za Wajumbe wa Kamati ya Utendaji.

Uchaguzi wa kujaza nafasi zilizowazi utafanyika Januari 13 2019 ambapo utahusisha nafasi za Mwenyekiti, Makamu Mwenyekiti na nafasi nne za Wajumbe wa Kamati ya Utendaji
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
2h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
5h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
14h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
20h ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
23h ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
1d ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
1d ago
READ MORE β†’
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yarejea Dar, kujipanga dhidi ya Mashujaa Fc
Yanga yarejea Dar, kujipanga dhidi ya Mashujaa Fc
1d ago
READ MORE β†’