Heritier Makambo 'Clinical finisher'

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
9 Dec 2018
Heritier Makambo 'Clinical finisher'
Heritier Makambo leo amefunga moja ya mabao bora kabisa msimu huu akiifungia Yanga bao la ushindi dhidi ya Biashara United kwenye dakika ya 80.

Mcongomani huyo amedhihrisha kuwa sio mshambuliaji wa 'mchezo mchezo' na huenda msimu huu akaondoka na kiatu cha dhahabu kama ataendelea kutupia nyavuni

Mchambuzi maarufu wa soka nchini Mwalimu Kashasha amemwagia sifa Makambo akisema mshambuliaji huyo ni mbunifu na anaitendea haki nafasi yake.

"Makambo akiwa na wachezaji wawili na golikipa anakuja mbele yake 'one on one' akajisetia mpira akamzunguka golikipa aka-flash ule mpira kulia kwake kwa guu lake la kulia far post goli moja la utulivu kabisa"

"Nimesema huyu ni aina ya wachezaji ambao wanaitwa fox in the box au clinical finisher, striker mbunifu anaeitendea haki nafasi yake," amesema Mwalimu Kashasha

Makambo amefikisha mabao nane sasa akishika nafasi ya pili kwenye orodha ya vinara wa kupachika mabao akihitaji kufunga bao moja ili amfikie Eliud Ambokile
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
1h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
5h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
5h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
8h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
17h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
22h ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
1d ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
1d ago
READ MORE β†’
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
1d ago
READ MORE β†’