Nidhamu, kujituma siri ya mafanikio Yanga

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
12 Dec 2018
Nidhamu, kujituma siri ya mafanikio Yanga
Yanga iko kileleni mwa msimamo wa ligi kuu ya Tanzania Bara ikiwa imejikusanyia alama 41 baada ya kushuka dimbani mara 15

Mwanzoni mwa msimu mabingwa hao wa kihistoria hawakupewa nafasi ya kufanya vizuri lakini kikosi kimekuwa kikiimarika mchezo hadi mchezo.

Kocha wa Yanga Mwinyi Zahera amesema vijana wake wanafanya vizuri kwa kuwa wanafuata kile wanachoelekezwa.

Aidha amesema wachezaji wana ari, nidhamu na wanajituma kuhakikisha wanapata matokeo katika kila mchezo bila ya kujali changamoto zinazowakabili

Zahera amejipambanua kwa kuifanya timu yake isiwe tegemezi. Wakati mwingine Yanga imekuwa ikipata matokeo bila ya uwepo wa wachezaji wake waandamizi

Yanga itakuwa na nafasi ya kujiimarisha zaidi kileleni mwa msimamo wa ligi Jumapili ijayo kama itaichapa Ruvu Shooting kwenye mchezo wa raund ya 16

Baada ya mchezo huo Yanga itaelekea mkoani Arusha kuikabili African Lyon kwenye mchezo wa kiporo Disemba 20 2018
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
2h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
2h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
5h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
10h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
13h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
14h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
16h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
1d ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
1d ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’