Leo August 25, 2017 kurasa za michezo za magazeti mbalimbali zimeendelea kupambwa na sifa kedekede kwa kiungo mpya wa Yanga Papi Kabamba Tshishimbi.
Magazeti karibu yote yameendelea kumwagia sifa kiungo huyo aliyen'gara kwenye mchezo wa Ngao ya jamii dhidi ya Simba juzi.








Magazeti karibu yote yameendelea kumwagia sifa kiungo huyo aliyen'gara kwenye mchezo wa Ngao ya jamii dhidi ya Simba juzi.








ADVERTISE HERE