Wakati ratiba ya michuano ya kombe la FA (ASFC) raundi ya tatu ikiwekwa hadharani, Mtibwa Sugar iliyotwaa taji hilo msimu uliopita haijalipwa Mil 50 za zawadi ya ubingwa.
Aidha hata klabu ya Simba ambayo ilitwaa taji hilo msimu wa 2016/17 nayo haijalipwa kiasi hicho cha fedha.
Katibu Mkuu wa TFF Wilfred Kidao amesema wameshindwa kulipa fedha hizo kwa wakati kutokana na makubaliano yao na mdhamini wa michuano katika mgawanyo wa fedha kwa vilabu husika.
Hali hiyo pia huenda ikatokea kwa mshindi wa taji la ligi kuu msimu huu kwani mpaka sasa ligi inachezwa bila ya kuwa na mdhamini

ADVERTISE HERE