Cannavaro asifu kiwango Yanga

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
25 Aug 2017
Cannavaro asifu kiwango Yanga
Licha ya kutocheza mchezo wa Ngao ya Jamii dhidi ya Simba juzi, nahodha wa Yanga Nadir Haroub 'Cannavaro' amesifu kiwango kilichoonyeshwa na kikosi cha Yanga kwenye mchezo huo na kutamba kuwa haoni timu itakayoizuia Yanga kutwaa ubingwa nne mfululizo.

Yanga ilipoteza mchezo huo wa Ngao ya Jamii kwa matuta 4-5 baada ya dakika 90 kumalizika kwa suluhu ya 0-0.

Kocha George Lwandamina aliwaanzisha walinzi wa kati Kelvin Yondani na Andrew Vicent 'Dante' huku Cannavaro akikosekana hata kwenye wachezaji wa akiba.

"Vijana walijitahidi sana, walionyesha kiwango cha hali ya juu. Hakuna wa kumlaumu, penati hazina mwenyewe" amesema.

Yanga itashuka dimbani keshokutwa Jumapili kucheza mchezo wa kwanza wa ligi kuu ya Vodacom dhidi ya Lipuli.
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
8h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
8h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
11h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
12h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
16h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
17h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
17h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’