Viingilio mchezo dhidi ya Ruvu Shooting vyatajwa

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
15 Dec 2018
Viingilio mchezo dhidi ya Ruvu Shooting vyatajwa
Uongozi wa Yanga umeweka hadharani viingilio vya mchezo wa ligi kuu ya Tanzania Bara kati ya Yanga dhidi ya Ruvu Shooting utakaopigwa kesho Jumapili katika dimba la Taifa.

Kwa majukwaa ya VIP A kiingilio ni Tsh 15,000/- wakati VIP B na C na Tsh 10,000/-

Mzunguuko kiingilio ni Tsh 5,000/-

Aidha Yanga imethibitisha kuwa mchezo huo utapigwa kuanzia saa kumi kamili jioni ili kutoa nafasi kwa mashabiki wengi kujitokeza uwanja wa Taifa kuushuhudia.
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
5h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
6h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
10h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
10h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
10h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
20h ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
21h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
23h ago
READ MORE β†’