Banka aruhusiwa kujifua na Yanga

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
15 Dec 2018
Banka aruhusiwa kujifua na Yanga
Kiungo mshambuliaji wa Yanga Mohammed Issa 'Banka' ameruhusiwa kuanza mazoezi na kikosi cha mabingwa hao wa kihistoria wakati akisubiri kumalizika kwa adhabu yake.

Banka alifungiwa kwa kipindi cha miezi 14 kuanzia Disemba 9,2017, adhabu yake ikitarajiwa kumalizika Februari 8,2019.

Afisa Habari wa TFF, Clifford Ndimbo amesema kiungo huyo ameruhusiwa kufanya mazoezi lakini hatakiwi kucheza mchezo wowote (hata wa kirafiki) mpaka hapo adhabu yake itakapomalizika.
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
5h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
6h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
10h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
10h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
10h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
20h ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
21h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
23h ago
READ MORE β†’