Hongera Serengeti Boys kwa kutwaa taji la COSAFA U17

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
17 Dec 2018
Hongera Serengeti Boys kwa kutwaa taji la COSAFA U17
Jana kikosi cha timu ya Taifa ya vijana umri chini ya miaka 17 Serengeti Boyz, kilitwaa taji la COSAFA U17 kwa ushindi wa mikwaju ya penati 6-5 dhidi ya Angola kwenye mchezo wa fainali ambao dakika tisini za mwamuzi zilimalizika kwa sare ya bao 1-1

Serengeti Boyz imewatoa kimasomaso Watanzania ambapo mafanikio hayo ni dalili njema kuwa vijana hao kuwa wako tayari kwa michuano ya U17 ya AFCON 2019 itakayopigwa hapa nchini.

Serengeti Boyz inarejea leo nchini kutoka huko Botswana ambako ilikwenda kushiriki michuano hiyo ikiwa timu pekee iliyoalikwa kutoka Afrika Mashariki

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
5h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
5h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
10h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
10h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
10h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
20h ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
21h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
23h ago
READ MORE β†’