Kikosi cha Yanga leo jioni kimejifua katika uwanja wa Sheikh Amri Abeid mkoani Arusha kujiandaa na mchezo wa ligi kuu ya Tanzania Bara dhidi ya African Lyon.
Mchezo huo utapigwa katika dimba hilo kesho Alhamisi, Disemba 20 2118.
Wachezaji wa Yanga wameonyesha kuwa na ari na utayari wa mchezo huo ambao wamepania kuendeleza rekodi ya kutopoteza msimu huu

Matokeo ya ushindi hapo kesho yataikita Yanga kileleni mwa msimamo wa ligi kwa tofauti ya alama saba dhidi ya Azam Fc ambayo itashuka dimbani wiki ijayo

ADVERTISE HERE