Mashabiki wa Yanga mkoani Arusha wameonyesha umoja wao baada ya kupitisha mchango uwanjani kukusanya fedha kwa ajili ya kuisaidia timu.
Yanga imeendeleza umwamba wake kwenye ligi baada ya kuichapa African Lyon bao 1-0 katika mchezo uliohudhuriwa na mashabiki wengi uliopigwa uwanja wa Sheikh Amri Abeid mkoani Arusha
Mashabiki hao wamepongezwa kwa kubuni utaratibu huo na wengi wameshauri uendelezwa na mashabiki wa mikoa mingine ambayo Yanga itakwenda kucheza.
Ili fedha zitakazokuwa zinapatikana wapatiwe wachezaji ikiwa ni shukrani kwao kutokana na kazi kubwa wanayoifanya ya kuipigania timu

ADVERTISE HERE