Mlinda lango wa Yanga Ramadhani Kabwili alikimbizwa Hospitali ya Selian jijini Arusha baada ya kuumia kwenye mchezo wa ligi dhidi ya African Lyon uliopigwa katika uwanja wa Sheikh Amri Abeid
Kabwili alipata maumivu ya nyonga na kulazimika kutolewa nje katika dakika ya 38 ya mchezo huo ambao Yanga iliibuka na ushindi wa bao 1-0
Kaimu Mwenyekiti wa Yanga Samweli Lukumay amesema wanasubiri taarifa ya uchunguzi wa madaktari ili waweze kufahamu ukubwa wa tatizo alilopata mlinda lango huyo.
Huo ulikuwa mchezo wa saba kwa Kabwili kusimama langoni tangu achukue nafasi ya Beno Kakolanya ambaye ana mgogoro na kocha Mwinyi Zahera
POLE SANA RAMADHANI KABWILI

ADVERTISE HERE