Kindoki anaweza, tuendelee kumjengea imani

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
20 Dec 2018
Kindoki anaweza, tuendelee kumjengea imani
Ukimtizama kwa undani mlinda lango wa Yanga Klaus Kindoki utabaini Mcongoman huyo ni kipa mzuri, mapungufu yake yanayojitokeza mara kwa mara yanachangiwa kwa kiasi kikubwa na kukosa kujiamini.

Makosa aliyofanya katika michezo ya mwanzoni yalimuondoa mchezoni na kumfanya awe na hofu anapokuwa langoni

Leo kwenye mchezo dhidi ya African Lyon alionyesha kuwa na utulivu na hakika amedhihirisha anazo sifa za kuitumikia Yanga.



Jambo pekee ambalo sisi mashabiki tunaweza kufanya ni kumsaidia aongeze kujiamini kila anapopata nafasi ya kukaa langoni.

Matukio ya kuzomewa na wakati mwingine kulaumiwa kwa makosa ya kiubinadamu, yamechangia kwa kiasi kikubwa kumfanya awe na hofu na kujikuta anafanya makosa

Lakini naamini kama mashabiki watakuwa na uvumilivu kwake na kumpa nafasi ya kujisahihisha kama alivyowahi kusema Kocha Mwinyi Zahera, kindoki atakuwa msaada mkubwa kwa Yanga
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
8h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
11h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
16h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
16h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
16h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
20h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’