Kabwili aruhusiwa kutoka Hospitali

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
21 Dec 2018
Kabwili aruhusiwa kutoka Hospitali
Mlinda lango wa Yanga Ramadhani Kabwili jana aliruhusiwa kutoka Hospitalini baada ya kufanyiwa vipimo vya jeraha la nyonga alilopata kwenye mchezo dhidi ya African Lyon.

Kabwili alikimbizwa hospitalini baada ya kupata majeraha hayo katika kipindi cha kwanza cha mchezo huo ambao Yanga iliibuka na ushindi wa bao 1-0

"Kwanza namshukuru Mwenyezi Mungu,pili naishukuru klabu yangu kwa kunijali na kuhakikisha napata huduma sahihi," alisema Kabwili baada ya kuruhusiwa

"Pia awashukuru mashabiki wetu walioungana na mimi hospitalini, mpaka sasa naendelea vizuri.

"Nawapongeza wachezaji wenzangu kwa ushindi wa leo sasa tunaangalia mchezo unaofuata, najisikia vema, Ahsanteni sana"
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
4h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
7h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
12h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
12h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
13h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
16h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’