Muro akumbushia enzi zake Yanga

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
21 Dec 2018
Muro akumbushia enzi zake Yanga
Mkuu wa Wilaya ya Arumeru Jerry Muro alikuwa miongoni mwa mashabiki waliojitokeza kuiunga mkono Yanga kwenye mchezo dhidi ya African Lyon uliopigwa katika uwanja wa Sheikh Amri Abeid jana

Uwepo wake uwanjani hapo uliibua shangwe na nderemo miongoni mwa mashabiki na Wana Yanga waliosafiri na timu kutoka jijini Dar es salaam

Licha ya kuwa na majukumu ya kitaifa kwa sasa, Muro hakusita 'kuhanikiza' uwanjani na hakuficha furaha yake baada ya mchezo huo kumalizika kwa Yanga kushinda bao 1-0

"Siku zote nawaambia, ikiwaka mulika ikizima papasa! Ngariba huwa haogopi kojo, na ndio maisha yetu sisi. African Lyon wamekuja Arusha wamekutana na Ngariba na biashara imekwisha!" Muro alisema

"Safari hii Manara hana cha kujifariji, tangu tumeanza ligi hatujawahi kupoteza mchezo. Hii ndio Yanga ile ya Kimataifa."

"Sisi ni wa Kimataifa na wale ni wa matopeni, hii itabaki kuwa ivyo. Sisi ndo sisi wengine wote mafisi!"

"Simba walienda Zambia wakawa wa maonyesho ya sabasaba. Wale ni Simba wa maonyesho kama tulionao Mikumi, Serengeti na maeneo mengine. Hawa sio Simba wa nyika"

Wakati huo akiwa msemaji wa Yanga, Muro alikuwa kiboko ya msemaji wa Simba Haji Manara ambaye kuwa wakati alitishia kwenda Polisi kumshitaki kutokana na matani yake

Muro ndiye aliyeitungia Simba jina la 'Wamatopeni'
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
2h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
2h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
7h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
7h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
7h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
17h ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
18h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
20h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
1d ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’