Yanga kurejea Dar leo kuiwahi Tukuyu Stars

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
21 Dec 2018
Yanga kurejea Dar leo kuiwahi Tukuyu Stars
Kikosi cha mabingwa wa kihistoria wa Tanzania Yanga kinatarajiwa kurejea leo jijini Dar es salaam kuwahi mchezo wa kombe la FA (ASFC) utakaopigwa Jumatatu, Disemba 24 dhidi ya Tukuyu Stars.

Yanga imeondoka na alama zote tatu mkoani Arusha baada ya jana kuichapa African Lyon bao 1-0 katika mchezo uliopigwa uwanja wa Sheikh Amri Abeid.

Uongozi wa klabu ya Yanga umewashukuru WanaYanga wa mkoa wa Arusha kwa upendo walionyesha kwa timu hiyo tangu ilipotua jijini humo Jumanne jioni

Yanga imebaki na michezo miwili ya kufunga mwaka 2018 ambapo baada ya mchezo dhidi ya Tukuyu Stars, itaelekea mkoani Mbeya kuikabili Mbeya City Disemba 29 2018
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
5h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
10h ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
14h ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
15h ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
15h ago
READ MORE β†’
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
15h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
19h ago
READ MORE β†’
Yanga yarejea Dar, kujipanga dhidi ya Mashujaa Fc
Yanga yarejea Dar, kujipanga dhidi ya Mashujaa Fc
1d ago
READ MORE β†’
Behlulovic anasubiri simu ya Injinia Hersi
Behlulovic anasubiri simu ya Injinia Hersi
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yaondoka Arusha, kituo kinachofuata ni Mashujaa Fc
Yanga yaondoka Arusha, kituo kinachofuata ni Mashujaa Fc
1d ago
READ MORE β†’