Ligi kuu ya Vodacom inaanza leo Jumamosi, AUgust 26 kwa timu 14 kushuka dimbani. Kurasa za michezo za magazeti yote zimepambwa na habari hiyo.
Aidha, baadhi ya magazeti yameandika taarifa ya kuongezewa mkataba kwa kocha Mkuu wa Yanga George Lwandamina, siku moja baada ya kuzushiwa ametimuliwa.

ADVERTISE HERE