Michezo ya raundi ya tatu ya michuano ya kombe la FA (ASFC) imeanza kupigwa jana.
Ruvu Shooting na Tanzania Prisons zimekuwa timu za kwanza kutoka ligi kuu kuiaga michuano hiyo baada ya kupoteza michezo yao.

Michuano hiyo itaendelea leo kwa michezo 14 kupigwa kwenye viwanja mbalimbali.
Vinara wa Ligi Kuu Yanga wao watashuka uwanja wa Taifa Jumatatu, Disemba 24 kuikabili Tukuyu Stars kutoka mkoani Mbeya.

ADVERTISE HERE